0
Nimekuwa nikijiuliza sana maswali ya kwann baadhi yetu wanapenda kuzungumzia mambo yasiyowahusu!! Nikimaanisha kumzungumzia mtu fulani ambaye hakulishi wala hakuvishi!!
Kwanini Watu Tunapenda Kuzungumzia Mambo Ya Watu?

Nilipokuja kutulia nikagundua kuwa watu wengi wasiokuwa na kazi za msingi ndio huwa wanapata muda wa kusambaza mambo ya watu!! Hii inatokana na kutokujitambua na upungufu fulani wa akili!!

Sio lazima kupimwa na kujulikana kuwa una upungufu wa akili, vitu kama hivi pia vinaweza kuwa vigezo vya kudhihirisha kuwa una upungufu wa akili!!

Tuache majungu jamani tufanye vitu vya msingi ili walau tuonekane tuna akili kidogo.

Post a Comment

 
Top